Ahmes Schools Parent Portal

Parents • Teachers • Staff

LATEST

News & Updates

KARIBU KATIKA MFUMO WETU WA KUPEANA TAARIFA
Karibuni katika mfumo wetu tumebadilisha utaratibu wa kuingia kwani sasa tunaweza kutumia username na password (au pin) kwa atakaeshindwa kuingia awasiliane na mwalimu wa darasa kwa msaada zaidi. Ahsanteni na karibuni mtoe maoni yenu kwa uhuru nasi tutayafanyia kazi kwa haraka zaidi.

Angalia Namna ya kutumia kwa wazazi

Tazama namna ya kupata matokeo, malipo na taarifa zote.

Tafadhali subiri...
Mfumo unafunguka
Network hakuna. Tafadhali angalia internet yako.