SokoMax Uza na Nunua kwa Urahisi

Car Body Cover for Hilux,Mazda,Isuzu,Revo,Ranger

TZS 675,000

Car body cover inakusaidia kutunza mizigo yako wakati wa safari ndefu na fupi kutokana na mavumbi,wezi, maji ya mvua au wakati wa kupack gari yako. Ina turubai ngumu isiyoweza kuchanika haraka au kuharibika . Ina fremu ya chuma kwa chini inayosaidia iweze kukaa kwa mpangilio mzuri

Magari · new · Dar es Salaam / ilala /

Muuzaji: MICHAEL MLILO · ⭐ 0.0 (0)

Ratings & Reviews