SokoMax Uza na Nunua kwa Urahisi

Bed/Table Lamp

TZS 55,000

Hii ni table lamp ya kisasa inayoleta mwanga wa joto na mvuto wa kifahari ndani ya chumba chako. Imetengenezwa kwa glass yenye muundo wa kuvutia na base ya rangi ya gold, ikitoa mwanga laini unaofaa kwa kusoma, kupumzika au kupamba chumba cha kulala. Lampshade yake nyeupe husambaza mwanga kwa usawa bila kuumiza macho. Inafaa kuwekwa karibu na kitanda, sebuleni au ofisini, ikiongeza uzuri na hadhi ya eneo lolote. Ni chaguo bora kwa wanaopenda mapambo ya kisasa na classy

Electronics (vifaa vya ndani) · new · Dar es Salaam / ILALA /

Muuzaji: MICHAEL MLILO · ⭐ 0.0 (0)

Ratings & Reviews