SokoMax Uza na Nunua kwa Urahisi

Taa Za Chemli Za Kisasa Zenye Kupendeza Classic Solar And Type C Lamp

TZS 65,000

Taa za Chemli ya Kisasa zenye kupendeza Solar and Type C Lamp Inatumia umeme (Type C) Inatumia Solar Inatumia Koili (unachaji kwa kuzungusha na mkono) Inakaa na chaji mpka masaa 4 Ina mwanga mzuri kama chemli yenyewe Kwenye suala la Urembo na Kupendezesha sehemu ni 100%. Original kwa Asilimia zote.

Electronics (vifaa vya ndani) · new · Dar es Salaam / ILALA /

Muuzaji: MICHAEL MLILO · ⭐ 0.0 (0)

Ratings & Reviews