SokoMax Uza na Nunua kwa Urahisi

Pamba Hotel Yako Kwa Taa Za Solar Za Kipekee

TZS 45,000

Taa hii ya Solar Garden RGB ni ya kisasa yenye rangi 7 zinazobadilika, ikitumia rimoti kudhibiti mwanga, mda wa kuwaka (2h–8h), na aina ya mwanga (nyeupe, ya joto, au ya mchanganyiko). Ina uwezo wa kuangaza hadi masaa 8–10 baada ya kuchaji kwa masaa 6–8 kwa miale ya jua. Inafaa sana kwa fensi, geti, bustani, njia za nyumbani na mapambo ya kando ya nyumba.

Electronics (vifaa vya ndani) · new · Arusha / ARUSHA /

Muuzaji: MICHAEL MLILO · ⭐ 0.0 (0)

Ratings & Reviews