SokoMax Uza na Nunua kwa Urahisi

New Apple iPad Pro 512 GB Silver

TZS 850,000

IPad Pro storage 512gb ram 16gb inafaa kwa matumizi mbali mbali kama masomo , research, watu wa software na Digital Marketing na kazi za ki office na kwa watu wa rika zote office zipo kariakoo mtaa wa agrey na likoma na moshi mjini stand ya ma basi huduma ya delivery ipo tunasafirisha popote walipo wateja mpaka mikoani malipo ni baada ya kupokea mzigo

Electronics (vifaa vya ndani) · new · Dar es Salaam / ilala /

Muuzaji: MICHAEL MLILO · ⭐ 0.0 (0)

Ratings & Reviews