Solar Garden Light Kwa Pc Bei Promotion
TZS 17,000
Taa ya nje ya kisasa yenye paneli ya jua na taa ya LED yenye mwanga mkali. Inachajiwa mchana na kuwaka kiotomatiki usiku. Imekuwa na kigingi cha kuingiza ardhini, rahisi kusakinisha bila waya wala umeme. Inatumia nishati ya jua (bila gharama za umeme) Kinga ya mvua Muundo maridadi wa kisasa Bora kwa bustani, njia, ua na maeneo ya nje
Electronics (vifaa vya ndani) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: MICHAEL MLILO · ⭐ 0.0 (0)