Karibu katika shule yetu inapatikana Bagamoyo Pwani, Platform hii imeandaliwa kusaidia usimamizi wa shule kwa urahisi, usalama, na mpangilio mzuri wa taarifa za wanafunzi, walimu, fedha, na utendaji wa kila siku.
Tunalenga kutoa elimu bora inayojenga maarifa, nidhamu, ubunifu, na maadili kwa wanafunzi wetu. Mfumo huu unarahisisha mawasiliano, taarifa, na huduma za kila siku za shule kwa njia ya kisasa na salama.
Kuwa shule inayotumia teknolojia kwa ufanisi katika kujenga kizazi chenye maarifa, maadili mema, uwezo wa kujitegemea, na ushindani wa kitaifa na kimataifa.
Fuatilia matangazo ya shule na toa maoni yako kwa urahisi.
Chagua mtu unayetaka kuchat naye kwa WhatsApp.
Kwa Android: fungua menu ya Chrome (alama ya nukta 3 juu kulia) kisha chagua "Install app" au "Add to Home screen".