AHMES SCHOOLS
Tunapenda kukujulisha siku ya Jumamosi (15-11-2025) ni siku ya sala na dua kwa wanafunzi wetu wa kidato cha nne watakaoanza mitihani yao ya taifa Jumatatu (17-11-2025).Tukio hili litaanza saa nne kamili asubuhi hadi saa sita mchana. Baada ya sala na dua wazazi wataweza kuwatembelea wanafunzi wa kidato cha nne.Tukio hili litafanyika AHMES Bagamoyo na litajumuisha wanafunzi wa kidato cha nne kutoka Mbweni pia.
Student's General Progress
Send to Management
Opening WhatsApp...
Follow us on our Instagram