Inafungua...

Tafadhali subiri kidogo platform inafunguka.

Karibu

NIANJEMA SCHOOLS

English

Premier Schools providing facilities for boarding only. Our aim is to provide education that empowers students to meet all challenges of life.
Premier Schools believed as the one of the best School in Bagamoyo Pwani as well as Tanzania.

WASIFU WA SHULE
Slide 1
Majengo ya Utawala
Slide 2
Madarasa yetu
Slide 3
Viwanja vya michezo
Slide 4
Shughuli za Nje

About Our School

Tunalenga kutoa elimu bora inayojenga maarifa, nidhamu, ubunifu, na maadili kwa wanafunzi wetu. Mfumo huu unarahisisha mawasiliano, taarifa, na huduma za kila siku za shule kwa njia ya kisasa na salama.

Vision & Mission

Premier Schools providing facilities for boarding only. Our aim is to provide education that empowers students to meet all challenges of life. Premier Schools believed as the one of the best School in Bagamoyo Pwani as well as Tanzania.

Habari na Matangazo

Fuatilia matangazo ya shule na toa maoni yako kwa urahisi.

WAZAZI KARIBUNI KATIKA PLATFORM YETU MPYA
Ndugu wapendwa wazazi sasa mawasiliano yote tutatumia jukwaa hili kila mmoja aweke kero zake na atajibiwa haraka na kwa muda sahihi, karibuni pia mtaweza kuona maendeleo ya watoto wetu kwa kila muda, Ahsanteni na karibuni sana. kwa msaada piga 0789 675 897
Mashindano ya Madarasa
Michezo w mpira wa Miguu
Michezo w mpira wa Miguu
Watoto wetu huwatoa viwanja mbalimbali kwa ajili ya kushiriki michezo mbalimbali
Ubora wa Elimu Lengo letu ni kuzalisha wanafunzi wenye maarifa, maadili mema, na uwezo wa kushindana kitaifa na kimataifa. Mbali na masomo ya darasani, tunawajenga wanafunzi katika ubunifu, ujasiri, na kujitegemea.
Matangazo ya Shule Matangazo muhimu ya shule yanaonekana moja kwa moja ndani ya mfumo kwa haraka.
Mawasiliano Rahisi Watumiaji wanaweza kutoa maoni haraka kupitia WhatsApp comment link bila usumbufu.