Karibu

FOREST HILL SECONDARY SCHOOL

English

Mfumo huu umeandaliwa kusaidia usimamizi wa shule kwa urahisi, usalama na mpangilio mzuri wa taarifa za wanafunzi, walimu, fedha, na utendaji wa kila siku.

WASIFU WA SHULE
Slide 1
Mahafali
Slide 2
madarasa
Slide 3
Mazingira bora
Slide 4
mMatukio

About Our School

Tunalenga kutoa elimu bora inayojenga maarifa, nidhamu, ubunifu, na maadili kwa wanafunzi wetu. Mfumo huu unarahisisha mawasiliano, taarifa, na huduma za kila siku za shule kwa njia ya kisasa na salama.

Vision & Mission

Kuwa shule inayotumia teknolojia kwa ufanisi katika kujenga kizazi chenye maarifa, maadili mema, uwezo wa kujitegemea, na ushindani wa kitaifa na kimataifa.

Habari na Matangazo

Fuatilia matangazo ya shule na toa maoni yako kwa urahisi.

WELCOME TO FOREST HILL SECONDARY SCHOOL
The system will enable you to monitor the progress of your children, communicate with the school, and provide feedback easily.
Ubora wa Taaluma Ufuatiliaji wa masomo, matokeo, mahudhurio, na maendeleo ya mwanafunzi kwa urahisi.
Ulinzi wa Mfumo Login salama kwa wanafunzi, walimu, wahasibu, academic, admin, na manager.
Matangazo ya Shule Matangazo muhimu ya shule yanaonekana moja kwa moja ndani ya mfumo kwa haraka.
Mawasiliano Rahisi Watumiaji wanaweza kutoa maoni haraka kupitia WhatsApp comment link bila usumbufu.