Fuatilia Mauzo
Weka na fuatilia mauzo yako kwa mpangilio mzuri ili taarifa muhimu za biashara zisipotee.
Biashara inapokua, kumbukumbu za kichwani au kwenye karatasi zinaweza kufanya iwe vigumu kujua umeuza kiasi gani, umebakiwa na bidhaa gani na faida yako halisi ni kiasi gani. Mfumo huu wa mauzo unakusaidia kuweka taarifa muhimu za biashara sehemu moja ili uweze kufuatilia biashara yako kwa urahisi, kila siku.
Badala ya kusubiri mwisho wa mwezi ndipo ujue biashara imeendaje, pata picha ya biashara yako kwa taarifa zilizo katika mpangilio unaokusaidia kufanya maamuzi kwa uelewa zaidi.
Weka na fuatilia mauzo yako kwa mpangilio mzuri ili taarifa muhimu za biashara zisipotee.
Pata mwonekano unaokusaidia kutathmini mauzo na kuelewa mwenendo wa faida ya biashara yako.
Fuatilia bidhaa zako kwa urahisi na kuwa na taarifa iliyo bora zaidi unapohitaji kufanya maamuzi.
Tumia taarifa za biashara kuona mwenendo wa mauzo na kutambua maeneo yanayohitaji umakini zaidi.
Punguza usumbufu wa kutafuta kumbukumbu sehemu tofauti kwa kuweka taarifa zako katika mfumo mmoja.
Muonekano umeboreshwa kwa simu na computer ili uweze kutumia mfumo kwa urahisi kwenye kifaa chako.
Jaza taarifa zilizo hapa chini ili kutengeneza akaunti yako na kuendelea kutumia mfumo.