Inafungua...

Tafadhali subiri.

Karibu

AHMES PRE & PRIMARY SCHOOL

Ali Hassan Mwinyi Elite Schools (AHMES) is an educational instituition that provides care and education for both boys and girls in its campuses. We provide quality mental, physical and spiritual education to the youth, bring the youth together through teamwork in academics, sports and culture regardless of gender, status, race, religion and political ideology

WASIFU WA SHULE
Slide 1
Majengo ya Utawala
Slide 2
Madarasa yetu
Slide 3
Viwanja vya michezo
Slide 4
Shughuli za Nje

About Our School

Tunalenga kutoa elimu bora inayojenga maarifa, nidhamu, ubunifu, na maadili kwa wanafunzi wetu. Mfumo huu unarahisisha mawasiliano, taarifa, na huduma za kila siku za shule kwa njia ya kisasa na salama.

Vision & Mission

We provide quality mental, physical and spiritual education to the youth, bring the youth together through teamwork in academics, sports and culture regardless of gender, status, race, religion and political ideology. FORWARD EVER BACK WARD NEVER

Habari na Matangazo

Fuatilia matangazo ya shule na toa maoni yako kwa urahisi.

UHAMISHO WA WANAFUNZI
Tunapoelekea kufungua nusu ya muhula wa mwisho kila mzazi ambaye mwanaye alihamia na hakukamilisha uhamisho awasiliane na shuleni alipotokea mtoto ili kukamilisha zoezi hilo.
ifikapo tarehe 01/10/2026 kila mzazi anatakiwa kuwa amekamilisha zoezi.
Vinginevyo shule haitaruhusu uwepo wa wanafunzi ambao taarifa zao bado zinasoma katika shule walizokuepo hapo awali.
Kukuza vipaji kupitia michezo kila wiki
Wanafunzi mbalimbali
Wanafunzi mbalimbali
Wanafunzi wetu hupata fursa ya kujitambua,kuibua na kukuza vipaji vyao kila wiki kupitia michezo mbalimbali.
Application Form
Application Form
Usaili wa kujiunga kidato cha kwanza utafanyika mwezi September kwa tarehe itakayopangwa. Pakua na ujaze application form kwa ajili ya kuomba nafasi ya masomo.
Utailipia fomu siku ya kuileta shuleni, na utaileta kabla ya siku ya usaili.
Matangazo ya Shule Matangazo muhimu ya shule yanaonekana moja kwa moja ndani ya mfumo kwa haraka.
Mawasiliano Rahisi Watumiaji wanaweza kutoa maoni haraka kupitia WhatsApp comment link bila usumbufu.